lyrics

Maombi yangu yafike kwako (May my prayers reach You)
Moyo uliyobondeka, hutadharau (For You will not despise a broken heart)
Kiu yangu, haja yangu (It is my thirst, and my need)
Nifanane nawe, nifanane naye (To be like You, to be like You) (Repeat)

Refrain:
Nifanye kama wewe (Make me as you are)
Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me)
Wakinitazama wakuone wewe (When they look at me, let them see me)
Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me) (Repeat)

Spoken:
Inua mikono yako sasa mahali ulipo wewe umwambie Bwana akufanye upya utu wako wa ndani
(Lift your hands where you are and ask the Lord to renew Your spirit)
Tufinyange! Tufinyange! (Mould us! Mould us!)
Roho yule yule aliyefufua Kristo katika wafu anaishi ndani yetu
(The same Spirit that raised Christ from the dead leave
Naye ataiisha miili yetu iliyo kati ya kufa (And he will restore our flesh from the dead)
Anafanya jambo jipya(He is doing something new)

(Refrain)

(Bwana) Anafanya jambo jipya (The Lord is doing something new)
Je, hatukuliona? (Did we no see it?)
Macho yana shuhudia (The eyes witness it)
Masikio kusikia (And the ears hear it) (Repeat)

lyrical source : https://africangospellyrics.com/2022/07/04/nifinyange/