Lyrics

Nalikungoja Bwana
Kwa zaburi
Ukasikia kilio changu
(Repeat)

Chorus
Umetia wimbo mpya,
Kinywani mwangu.
Umetia wimbo mpya,
Kinywani mwangu.
Ndio sifa za Mungu

Verse 2
Umesimamisha miguu yangu mwambani’
Hatua zangu umezihiimarisha,
(Repeat)

Chorus
Umetia wimbo mpya,
Kinywani mwangu.
Umetia wimbo mpya,
Kinywani mwangu.
Ndio sifa za Mungu

(A new song, a new testimony)

Verse 3
Kuyatangaza na kuubiri matendo yako 
Ni mengi
Haya-hesabiki
Kuyafanya mapenzi yako
Ewe Mungu wangu
Ni furaha ya moyo wangu

Chorus
Umetia wimbo mpya,
Kinywani mwangu.
Umetia wimbo mpya,
Kinywani mwangu.
Ndio sifa za Mungu


Ndio sifa za moyo
Ndio sifa za moyo
Ndio sifa za moyo

Sifa za furaha
(Ndio sifa za Mungu)

Sifa za ushindi
(Ndio sifa za Mungu)

Sifa za faraja
(Ndio za Mungu)